Mtoto Yunis Ogot aanza kuongea, akiri kutokewa na Bikra Maria
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mtoto Yunis Ogot mkazi wa Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Mara anayeombea watu wenye shida mbalimbali kwa kutumia maji ya baraka anayoyaombea mwenyewe, sasa ameanza kuongea na kujibu baadhi ya maswali.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KWA VIDEO ZAIDI
No comments: