Mbunge Mabula wa Nyamagana akagua miradi ya elimu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula amekagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya elimu katika Jimbo hilo na kuunga mkono ukamilishaji wake ili kuboresha zaidi mazingira ya kufundisha na kujifunzia.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments: