LIVE STREAM ADS

Header Ads

Chatanga aongoza kongamano maalum mkoani Shinyanga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi Taifa, Marry Pius Chatanda ameongoza kongamano la mafunzo ya matokeo ya Sensa kwa makundi mbalimbali mkoani Shinyanga.

Kongamano hilo liliandaliwa na mbunge wa miti maalum Mkoa wa Shinyanga, Santiel Kirumba na kufanyika wilayani Kahama kwa lengo la kutoa mwelekeo wa CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.

Kongamano hilo lilifanyika Julai 01,2024 wilayani Kahama likijumuisha makundi mbalimbali kutoka CCM na Serikali.

No comments:

Powered by Blogger.