Waziri wa Fedha mgeni rasmi uzinduzi wa Chuo cha Mipango
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini kampasi ya Mwanza (Kituo cha Mafunzo Kanda ya Ziwa- Mwanza), Jumamosi Agosti 17, 2024 chuoni hapo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
Video wa kina.
No comments: