Katibu Mkuu CCM apata mapokezi makubwa Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili mkoani Mwanza akitokea mkoani Geita kwa ajili ya ziara ya kichama kukagua uhai wa chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020/25.
Dkt. Nchimbi ameambatana na viongozi mbalimbali wa chama hicho ambapo atakuwa mkoani Mwanza kuanzia Agosti 14-18, 2024 ambapo atakuwa na shughuli mbalimbali ikiwemo mikutano ya hadhara.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: