LIVE STREAM ADS

Header Ads

Amsha amsha za msimu mpya na Betway

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mweingine wa burudani katika ligi kubwa duniani, Kampuni ya ubashiri Betway iko pamoja na wateja kuwaba burudani na huduma bora za kubashiriki.

Meneja Masoko Betway Tanzania, Calvin Mhina amesema walishiriki vyema kuwa sehemu ya burudani kwa maelfu ya mashabiki waliojitokeza kutazama mitanange ya ngao ya jamii katika viunga vya uwanja wa Taifa pamoja na Betway Arena ya kisasa iliyoko Mbezi Beach Dar es salam.

Amesema wateja waliojitokeza walipata wasaa wa kushiriki michezo mbali mbali na kujishindia zawadi za papo hapo toka Betway.

Aidha amesema pamoja na kutoa elimu ya kubashiri kistaarabu pia ilikuwa ni wasaa wa kueleza wateja huduma mpya na bora zitakazowawezesha kufurahia kubashiri na kushinda zaidi.

"Msimu huu tunawaletea promosheni ya Pata Zaidi na Betway ikiwa imesheheni ofa lukuki. Promosheni hii inakuruhusu kuchagua Offer Uipendayo, yani hatukuoangii ofa wewe ndio unachagua ipi inakufaa kila wiki" amesema.

No comments:

Powered by Blogger.