Biteko atoa rai watanzania kupendana, kuvumiliana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mwenyezi Mungu.
Dkt. Biteko amesema hayo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu lililofanyika kitaifa katika wwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: