LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Gwajima avutiwa na mbinu za kutokomeza ukatili Tarime, Mara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima Jumatatu Septemba 16, 2024 amefanya ziara katika Wilaya ya Tarime mkoani Mwanza kwa lengo la kuamsha ari ya kutokomeza ukeketaji, mimba na ndoa za utotoni pamoja na ukatili dhidi ya watoto na wanawake na kuvutiwa na mbinu zinazotumika kutoa elimu na kuhamasisha jamii kuepuka vitendo hivyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.