Halmashauri ya Jiji la Mwanza yajipanga utoaji mikopo ya asilimia 10
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Mwanza kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii imezijengea uwezo Kamati za Huduma ya Mikopo ngazi ya Kata ili kusimamia kwa weledi zoezi la utoaji mikopo ya asilimia 10 inayotolewa kwa vijana, wanawake na wenye ulemavu.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> HABARI ZAIDI HAPA
No comments: