UVDS wasafisha mitaa ya Jiji la Mwanza kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Umoja wa makondakta na wasaidizi wake Mkoa wa Mwanza (UVDS) umefanya usafi katika mitaa mbalimbali ya Jiji la Mwanza ikiwemo Natta, Makoroboi, Kamanga na stendi ya Igombe ikiwa ni sehemu kuweka mji safi kuelekea kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> SOMA HABARI ZAIDI HAPA
No comments: