DC Misungwi awahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea Mwenge wa Uhuru
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Johari Samizi amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Wilaya hiyo ukitokea Wilaya ya Nyamagana, Alhamisi Oktoba 10, 2024.
No comments: