LIVE STREAM ADS

Header Ads

Christian Bella awasili Mwanza kwa ajili ya Samaki Carnival 2024 ndani ya SatoSangara

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwanamuziki Christian Bella tayari amewajili jijini Mwanza kwa ajili ya kutoa burudani kwenye shoo ya Samaki Carnival itakayofanyika Jumamosi Oktoba 12, 2024 SatoSangara Restaurant, Rock City Mall.

Pia atakuwepo mtoto wa nyumbani, H- Hababa. Milango itakuwa wazi kuanzia saa kumi na mbili jioni.

Njoo ufurahie samaki huku ukifurahia burudani. Kiingilio ni chaguo lako, kuanzia elfu 10, elfu 30 na elfu 50.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.