LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dada wa kazi aliyechomwa moto na bosi wake, amwachia Mungu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Dada wa kazi za nyumbani mkazi wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza aliyechomwa moto na bosi wake kwa tuhuma za wizi wa fedha kiasi cha shilingi 161,000 amesema anamuachia Mungu kuhusu yote yaliyotokea kuhusiana na mkasa huo.

Kwa sasa dada huyo anawaomba watanzania kumsaidia ili atimize ndoto yake ya kuwa mbunifu na mshonaji wa mitindo mbalimbali ya nguo hatua itakayosaidia kujikimu kiuchumi na kuisaidia familia yake.
Majeraha ya binti huo baada ya kuchomwa moto na bosi wake. Kwa sasa anaendelea na mfunzo ya kushona nguo jijini Mwanza kwa msaada wa shirika la WoteSawa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.