LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la WOTESAWA laahidi kumsaidia binti wa kazi aliyechomwa moto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la kutetea haki za wafanyakazi wa nyumbani WOTESAWA limeahidi kumsaidia dada wa kazi aliyechomwa moto katika Kata ya Usagara Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ambaye kwa sasa anapata matibabu katika hospitali ya Sekou Toure.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.