LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Mstaafu Kikwete akutana na Makamu wa Rais Benki ya Dunia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Bi. Mamta Murthi, Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Maendeleo ya Watu walipokutana makao makuu ya Benki hiyo jijini Washington DC, Marekani. Kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Viongozi na Watumishi wa Taasisi hiyo katika Makao Makuu ya GPE yaliyopo Ofisi za Benki ya Dunia, Washington, Marekani. Pembeni yake ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya GPE Bi. Christine Hogan na Afisa Mtendaji Mkuu Bi. Laura Frigenti.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Kimataifa inayoshughulikia masuala ya Elimu Duniani (GPE), Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Watumishi wa Taasisi hiyo katika Makao Makuu ya GPE yaliyopo katika Ofisi za Benki ya Dunia, jijini Washington DC, Marekani.

No comments:

Powered by Blogger.