Mradi wa BBT waanza kunufaisha vijana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mradi wa Jenga Kesho Bora (Building a Better Tomorror- BBT), chini ya Wizara ya Kilimo hadi kufikia Aprili mwaka huu umenufaisha zaidi ya vijana 235.
Mradi huo ambao umeanzishwa na Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sekta ya kilimo na mifugo kuna vituo nane vya kwa ajili ya kufugia wanyama.
Tayari mafunzo mbalimbali yametolewa kwa wanufaika 235 ambapo kati ya hao, wanufaika 74 wamepata ajira za moja kwa moja serikalini na 161 wanaendelea na programu hiyo.
Aidha mradi umewezesha mchakato wa kunenepesha jumla ya ng’ombe 3,388 kupitia vituo vyake vilivyoanzishwa nchini na kuuzwa maeneo mbalimbali huku kila ng'ombe akiuzwa kwa bei ya Tsh 1,970,000.
#KAZIINAONGEA
No comments: