LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtandao wa Dadas Rise waadhimisha kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Wadau jijini Mwanza ukiwemo mtandao wa mashirika yanayoongozwa na wakurugenzi wanawake vijana (Dadas Rise), wametumia kilele cha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kutoa rai kwa jamii kutonyamazia matukio ya ukatili hasa kwa wanawake na watoto.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.