DC Nyamagana aongoza matembezi ya furaha, kampeni ya saratani kitaa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amina Makilagi ameungana na wananchi kwenye maembezi ya furaha pamoja na kampeni ya saratani, kwa lengo la kutoa elimu kuhusu maradhi ya saratani.
Shughuli hizo zimefanyika jumamosi Disemba 28, 2024 zikiratibiwa na Babuu Cancer Foundation ya jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, Amina Makilagi
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: