LIVE STREAM ADS

Header Ads

Afya Radio yaja na mpango wa kuleta usawa wa kijinsia kwenye vyombo vya habari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kituo cha Afya Radio kimekuja na mkakati wa kutoa mafunzo kwa vyombo vya habari mkoani Mwanza, ili kwa pamoja kuleta usawa wa kijinsia kwa kuhakikisha maudhui yanahusisha makundi yote, wanaume na wanawake.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.