Rais Samia ahudhuria hafla ya Mlipa Kodi Bora 2023/24
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

Hafla hiyo imeandaliwa na Mamlaka ya Mapato (TRA) imehudhuriwa na viongozi wa Serikali, wafanyabiashara na wadau mbalimbali, na kufanyika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam Januari 23, 2025.
KAZI INAONGEA
No comments: