Shirika la Mikono Yetu lasimamia vyema mradi wa Kilimo Hai
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Mikono Yetu lililopo Buswelu, Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, linawawezesha wakulima wa Kijiji cha Kahumulo, Sengerema kupitia kikundi cha "Kahumulo Youth Group" kujikita kwenye Kilimo Hai kisichotumia mbolea na dawa za viwandani kwa usalama wa mazingira na afya ya mlaji wa mazao.
Mradi huu kwa kiasi kikubwa unachangia kuwapa vijana ajira na kuongeza kipato.
Tazama BMG TV hapa chini kwa simulizi zaidi
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: