LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKONDAKTA MWANZA WAFANYA USAFI KUELEKEA MAPOKEZI YA MWENGE

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com 
Wanachama wa Chama cha makondakta wa daladala na wasaidizi wao (UVDS) Mkoa wa Mwanza, wakiongozwa na Mwenyekiti Mlimi Juma pamoja na Mlezi Mwl. Michael Makale wamefanya usafi na kupanda miti ya matunda katika Kituo cha Polisi Nyegezi na Kituo cha Afya Mkolani. 

Lengo ni kuweka mazingira safi kuelekea mapokezi ya Mwenge wa Uhuru jijini Mwanza siku ya Jumatatu Agosti 25,2025 ambapo utafika katika miradi hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.