CHAUMMA kuwasha moto jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), kinatarajia kufanya mkutano mkubwa jijini Mwanza siku ya Alhamisi tarehe 11 Septemba 2025.
Mkutano huo ni mahususi kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu Jimbo la Nyamagana utakaofanyika eneo la Ngokozi Dampo.
Mkutano huo utakujia LIVE hapa Youtube ya BMG ONLINE TV
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: