MAONESHO YA KEKI YAHITIMISHWA KWA KISHINDO MWANZA
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Maonesho ya Keki Kanda ya Ziwa yamehitimishwa kwa mafanikio makubwa kutokana na mwitikio mzuri wa washiriki pamoja na wananchi waliofika kuonja na kununua keki kwa punguzo la asilimia 50.
Maonesho hayo ya kwanza Tanzania yaliyoanza JumatanoSeptemba 03, 2025 katika ukumbi wa Gandhi Hall jijini Mwana, yalihitimishwa Jumapili Septemba 07, 2025, yakiandaliwa na kampuni ya BJ Empire.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> Bonyeza hapa kusoma zaidi
No comments: