LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAONESHO YA KEKI KANDA YA ZIWA YAVUTIA WENGI

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Maonesho ya kwanza ya keki Tanzania yanayofanyika katika jijini Mwanza yamevutia washiriki zaidi ya 100 huku wananchi nao wakijitokeza kwa wingi kushuhudia bunifu mbalimbali za waokaji keki.

Maonesho hayo yalianza Septemba 03, 2025 hadi Septemba 07, 2025 katika ukumbi wa 'Gandhi Hall' jijini Mwanza, yakiandaliwa na kampuni ya BJ Empire huku kivutio kikubwa ikiwa ni zoezi la uonjaji keki kwa kila anayefika kwenye maonesho huku pia keki zikiuzwa kwa punguzo la asilimia 50.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.