LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHAUMMA NYAMAGANA WAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2025

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimezindua rasmi kampeni zake za Uchaguzi Mkuu katika Jimbo la Nyamagana, katika mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Ngokozi jijini Mwanza, Alhamisi Septemba 11, 2025.
Tazama BMG TV hapa

No comments:

Powered by Blogger.