MNEC MABULA AKABIDHI SARE ZA KAMPENI KWA MADIWANI
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Sare hizo zimepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela, Yusuph Bujiku katika hafla fupi iliyohuzuriwa na mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Kafiti Kafiti, wagombea udiwani jimboni humo na viongozi mbalimbali wa CCM.
MNEC Taifa, Dkt. Angeline Mabula (kulia), akisalimiana na mgombea ubunge Jimbo la Ilemela, Kafiti Kafiti (kushoto) baada ya kukabidhi sare za kampeni. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilemela, Yusuph Bujiku.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: