LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAMKO LA VIJANA WACHIMBAJI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wachimbaji Tanzania (TYM), Cuthbert Joseph.

Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, viongozi wa Umoja wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania (Tanzania Youth in Mining- TYM), wametoa tamko la kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Wakizungumza na wanahabari Jumatatu Oktoba 27, 2025 jijini Mwanza, viongozi hao wamesema utendaji kazi wa Dkt. Samia hasa katika kuboresha sekta ya madini kwa vijana ni moja ya sababu iliyowafanya kumuunga mkono.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Wachimbaji wa Madini Tanzania (TYM), Ashraph Omary.
Wanahabari.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.