HALMASHAURI YA JIJI LA MWANZA YAJA NA MKAKATI WA KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA MADAWATI
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Mwanza yaja na mkakati wa kumaliza changamoto ya uhaba wa madawati ambapo kwa awamu ya kwanza ya mpango huo imekabidhi madawati 2,939 kwa shule za msingi 13 ikiwemo Nyasubi iliyopo Mkolani inayokabiliwa na changamoto hiyo.




No comments: