LIVE STREAM ADS

Header Ads

BURUDANI: HATA KAMA NI NJAA YA BURUDANI SIYO KIASI HIKI...AU KWA KUWA ILIKUWA NI VUNJA JUNGU? TAZAMA ILIVYOKUWA NDANI YA VIILA PARK RESORT.

Hizi ni Picha 25 za Show iliyopigwa Ijumaa ya June 27 ndani ya Villa Park Resort ikiwa ni Vunja Jungu Kwa wakazi na wananchi wa Mkoa wa Mwanza na Mikoa jirani ambapo Christian Bella na Band yake ya Malaika, Sanjari na Kidumu na Band yake ya BodaBoda waliweza kukata kiu ya Burudani kwa wapenzi wa Mziki siku hiyo. Kiukweli ilikuwa Show nzuri kutoka kwa Band zote. Show hiyo ilisindikizwa pia na Wazee wa Nyumbani Super Kamanyola ambao nao pia Walitisha mbayaaaaaaa!!!!Tazama picha vizuri kuanzia ya kwanza hadi ya mwisho kuna kitu utakigundua!!!!!!!
Wakati nje Watu wakidance na Kutazama Showz kali kutoka kwa Kidumu na Band yake ya Boda Boda sanjari na Christian Bella na Band yake ya Malaika, Ukumbini nako wale wa nyooo.....nyooooo walikuwa wakiendelea na burudani kama kawaida.......in short waliweza kuua ndege wawili kwa jiwe moja........showz na kuzama klabu pia.

No comments:

Powered by Blogger.