LIVE STREAM ADS

Header Ads

HIVI NDIVYO FILAMU YA I LOVE MWANZA ILIVYOZINDULIWA NA WAZIRI MEMBE KATIKA UKUMBI WA JB.BELMONTE HOTEL.

Hivi ndivyo Filamu ya I love Mwanza ilivyozinduliwa jana jumamosi usiku katika Ukumbi wa Hotel ya JB.Belmont Hotel Jijini Mwanza ambapo hii ilikuwa kwa waalikwa pekee na kufuatiwa na uzinduzi kwa wakazi na wananchi wote wa Jiji la Mwanza Jumapili katika Uwanja wa CCM Kirumba.



Picha zote na G.Sengo Blog

No comments:

Powered by Blogger.