LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAZAMA EVENT YA KWANZA YA MAPENZI NYUMBANI ILIVYOZINDULIWA MKOANI MWANZA HII LEO.

Event ya Kwanza ya Mapenzi Nyumbani Kampeni ambayo ni kampeni inayohamasisha watu kuwa na uzalendo wa kupenda kazi za ndani kwa ya kazi za nyumbani kabla ya zile za nje imeanza hii leo Mkoani Mwanza ambapo imeshiggwa show ambayo wenzetu huwa wanaita Ibhyaa hatariiii yani shoo ya hatari.Lakini pia much respect kwa Media za Mwanza, Blogers, Wasanii, Maproducers, Madjs, Mapresenters na Mashabiki wote kwa ujumla kwa kwa Ushirikiano wenu juu ya MAPENZI NYUMBANI KAMPENI.

Kampeni hii inalenga pia kunyanyua mziki wa wasanii wa Mwanza ambapo Mapenzi Nyumbani Kampeni itakuwa ikiwakutanisha wasanii mbali mbali kwa ajili ya shows mbalimbali kama zitakavyokuwa zikifahamika kama Free Stage huku jambo kubwa zaidi likiwa ni kutoa fursa kwa wasanii hao kuuza kazi zao katika shows hizo, ambapo hii leo Free Stage imepigwa maeneo ya Kona ya Bwiru na kusababisha nyomi la watu kufulisha balaaa. Me nakuacha utiririke na picha wewe mwenyewe hadi mwisho ili kujua nilichokiandika.





Picha zote na bundalawilliam.blogspot.com

No comments:

Powered by Blogger.