binadam tuna mioyo ya ajabu sana.,mzee small ameugua muda mrefu hakuna aliyepeleka msaada, leo amefariki umati unatirirka na mbwembwe nyingi ili muonekane,.laiti angefungua macho awaone sijui mngejificha wapi na unafiki wenu..R.I.P mzee small