MAKAMU WA RAIS AZINDUA MTAMBO WA MAJI TAKA KATIKA KIWANDA CHA SERENGETI MKOANI MWANZA.

Makamu
wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akifungua
kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha
Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.


Makamu
wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia
wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha
Serengeticha mjini Mwanza

Makamu
wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akipata
maelezo kwa Inspekta wa Mazingira Bi Anna Mangara juu ya maji
yaliyosafishwa kwenye Mtambo wakusafishia Maji taka kwenye kiwanda cha
serengeti cha mjini mwanza.

Makamu
wa Rais Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika
picha ya Pamoja na wafanyakazi wa kike wa Kiwanda cha Serengeti cha
Jijini Mwanza.Uzinduzi huu ulifanyika Juzi Jumamosi.
No comments: