LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKAMU WA RAIS KUZINDUA MASHINDANO YA NGOMA NA NYIMBO ZA ASILI MKOANI MWANZA.

Padre Fabian Mhoja ambae ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni Bujora akizungumza juzi ndani ya Studio za Metro FM Jijini Mwanza kuhusiana na Mashindano ya Ngoma na Nyimbo za Asili maarufu kama BULABO. Mashindano hayo yanatarajiwa kuzinduliwa leo June 22 katika Viwanja vya Bujora na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal na yatadumu kwa takribani juma zima.
Padre Fabian Mhoja ambae ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni Bujora.Ngoma mbalimbali zitakuwepo katika mashindano hayo hivyo wananchi wanahamasishwa kujitokeza kwa wingi ili kushuhudia mashindano hayo.Kumbuka hakuna kiingilio ni Bureeee kabisa.Ni katika Viwanja wa Bujota Mkoani Mwanza, kama kawaida Bia ya Baridi Extra ndio wadhamini wakuu wa Mashindano haya.

No comments:

Powered by Blogger.