LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YATOA TAHADHARI.

Mamlaka ya Chakula na Dawa-TFDA Kanda ya nyanda za Juu kusini imetoa tahadhari ya kuwepo kwa vyakula na vinywaji katika baadhi ya masoko mkoani Mbeya, ambavyo muda wake kwa matumizi ya binaadamu umepitwa na wakati.
 
Mamlaka ya Chakula na Dawa-TFDA Kanda ya nyanda za Juu kusini imetoa tahadhari ya kuwepo kwa vyakula na vinywaji katika baadhi ya masoko mkoani Mbeya, ambavyo muda wake kwa matumizi ya binaadamu umepitwa na wakati na hivyo kuhatarisha afya za watumiaji.

Tahadhali hiyo imetolewa na Mkaguzi na mdhibiti wa chakula na dawa wa Mamlaka ya Chakula na dawa Kanda ya nyanda za juu kusini, YUSTO WALESI baada ya kukamatwa kwa shehena ya vinywaji laini kutoka nje ya nchi ambavyo muda wake kwa matumizi ya binaadamu umepitwa na wakati.

No comments:

Powered by Blogger.