MATATANI KWA KUAMURU MAITI KUKATWA MIGUU.
Mwandalizi mmoja wa mazishi
nchini Afrika Kusini,anayedaiwa kuwaagiza wafanyakazi wake kuikata miguu
ya maiti moja aliyodai kuwa ndefu sana amefikishwa mahakamani siku ya jana Ijumaa.
Anakabiliwa na kosa la kumkata miguu maiti.
Mfanyakazi mmoja alimbia mahakama kuwa Ronel alimuagiza kuchukua kifaa kimoja cha kukata ili kuikata miguu hiyo ya marehemu na kwamba jambo hilo limekuwa likimsumbua sana kimawazo.
Mwili marehemu ulifukuliwa ili kusaidia katika uchunguzi wa polisi.
Na:bbcswahili
No comments: