MICHEZO: FIFA YATOA HUKUMU YA LUIS SUAREZ. KIUKWELI NI MAJONZI KWAKE.
Suareza alisema awali kuwa baadhi ya matukio yanayotokea uwanjani hayapaswi kugeuzwa kashfa
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya
Uruguay Luis Suarez amefungiwa mechi tisa na shirikisho la kandanda
duniani FIFA baada ya kupatikana na hatia ya kumng'ta mlinzi wa timu ya
Italia Giorgio Chiellini kwenye mechi yao ya kombe la dunia nchni
Brazil.
Na: bbcswahili.
No comments: