MICHEZO: HAPA NDIPO TUNAPOANZA KUTOFAUTIANA VIWANGO VYA SOKA.
![]() |
Baada ya Mpira (Sembo) Kukamilika wanetu huanza mara moja kujifua kwa ajili ya mechi za Kirafiki.Kwa style hii kweli akina Messi wanaweza kupatikana kweli? |
![]() |
Kwa wanetu wa mbele, mtoto hata hajui sembo ni nini wala inavyotengenezwa.Wao kitu kinatoka kiwandani na wanakabidhiwa kwa ajili ya mazoezi tena chini ya ukufunzi wa hali ya juu. |
No comments: