MTANGAZAJI WA RADIO METRO FM AMINA RASHID ATAJWA KUWA MTANGAZAJI MREMBO ZAIDI MKOANI MWANZA.
![]() |
Amina Rashidi, Mtangazaji wa Radio Metro FM ya Jijini Mwanza. |
Awamu hii katika Mtandao wa Facebook umeibuka mjadala ukimuhusisha Mtangazaji wa Radio Metro ya Jijini Mwanza, ambae anafahamika kwa jina la Amina Rashidi ambapo wapenzi wasikilizaji wake naona wanakoelekea ni kuanzisha kitu kinachoitwa Team Amina Rashidi.Soma kinachoendelea kwenye kurasa zao za facebook.
Grace Mtoto Waukweli posted to Amina Rashidi
EXCLUSIVE:
AMINA RASHIDI MBALI NA UTANGAZAJI WAKE MAHIRI PIA NI MDADA MREMBO KWELI KWA SURA NA SHEPU PIA. MVUTO WAKE KAWAFUNIKA WATANGAZAJI WOTE.KWA KWELI AMINA NI MZURI KWELI.
AMINA RASHIDI MBALI NA UTANGAZAJI WAKE MAHIRI PIA NI MDADA MREMBO KWELI KWA SURA NA SHEPU PIA. MVUTO WAKE KAWAFUNIKA WATANGAZAJI WOTE.KWA KWELI AMINA NI MZURI KWELI.
NA UKIMUONA HUWEZI KABISA UKADHANI NI MSUKUMA.
UNAWEZA KUDHANI ANA ASILI KIDOGO YA UHINDI KUTOKANA NA MACHO YAKE KAMA YA
KIHINDI. WAHENGA WALISEMA PANAPO UZURI WA KITU USITIE UBAYA.to be
honest AMINA NI MZURI.
Baada ya Post hiyo, hizi ni baadhi ya Comments...
- Felister Mayige Richard angalia usije ukamjengea mazingira magumu ya kazi mwenzako wanawake hatupendani
- Grace Mtoto Waukweli Wanune wasinune lakini hawatoubadili ukweli kuwa Amina Rashidi ni mzuri. NA UZURI KAWAFUNIKA WATANGAZAJI WOTE WA KIKE METRO FM KWA UZURI WA SURA NA WALA SITEGEMEI KUONA MTANGAZAJI HATA MPYA KUWEZA KUMFUNIKA AMINA KWA UZURI. Kwa fm-radios za huko Mwanza hakuna mtangazaji yoyote yule either awe wa r.f.a,city fm,afya radio,passion na utitiri wote wa radios zilizopo Mwanza.KWA WATANGAZAJI WA RADIO WAKIKE KAWAZIDI WOTE UZURI. CHUNGUZENI MUONE, KAMA KUNAMTANGAZAJI WA KIKE WA RADIO YOYOTE YA MWANZA ANAYEMZIDI AMINA uzuri wa sura hebu mseme then waungwana watoe maoni kama kweli yupo. UKWELI NI KWAMBA HAYUPO NA HATUKUWEPO MIAKA 800.#Team Amina Rashidi.
Amina Rashidi.
Amina Rashidi bado hajafikia kuwa mrembo kwa watangazaji wa kike Mkoani Mwanza, kwa pix hizo tu nilizo ziona bado xana kunishawishi kumpa mx zangu za urembo.
ReplyDelete