MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE IRINE UWOYA YAMKUTA YA KUMKUTA, ASHINDWA CHA KUJIBU MBELE ZA UMMA.
Mwigizaji wa Bongo Movie leo amekumbana na maswali magumu kutoka kwa mashabikizi zake wake wakiwa akiwa Kikaangoni Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV/EA Radio hii leo.Haya ni baadhi ya maswali hayo, soma mwenyewe.
Muigizaji wa filamu Irene Uwoya
jana alikuwa kwenye Kikaango cha EATV/EA Radio ambapo mashabiki
huwauliza mastaa maswali kupitia Facebook. Hata hivyo, sio maswali yote
yalikuwa ya maana. Haya ni maswali 10 ya kipuuzi au magumu zaidi
aliyoulizwa.
*Thomas Muller:* IRENE UWOYA mara ya mwixho kufanya mapenzi LINI?na saa ngpi?
*Nelson Mgosi:* Hivi nikweli
mkuu wa kaya huko Burundi ndio unampa penzi na anakuhonga magari. Jibu
maswari usiishie kusema mmhh Asante Nop tunataka majibu
*Malimba Manoti: * dah!hivi ni
kweli ulikuwa hujui kupika ndo maana ukazinguana na shemu?
*Sosthenes
George:* kwanini unapenda kutuonyesha mapaja ukiwa location?
*Daudi Shabani:* Unajisikiaje kumuiba mume wa mtu(msami)? *
Ibra Moses Mwaisela:* Irene
uwoya kwann umekula hela ya ndikumana umeona kaishiwa umesepa zako ila
malipo dunian kama ulimpendea hela utapigwa fain hapahapa
*Hashish Phill: * Mambo dada
hivi maisha yako kwenye familia na mapenzi unayachukuliaje, maake naona
kama inaweza kuleta sheda hapo kwenu kwakubadili wanaume public namna
hiyo?
* Alifa Rajab: * Eti ni kweli
wakati wa tendo la ndoa unapenda kuingiliwa kinyume na maumbile na ndo
chanzo cha h baba kuachana na wewe?
* Charlles Citty HDee:* ivi
irene kwann unamtesa mumeo ndikumana namna hyo? mtu anakupenda ivo alafu
unamtenda kiasi hcho?,kwann ulikubal kuolewa mapema kama ulkuwa unajua
kwamba ndoa hutoiweza?,alafu n kwel et unatembea na msami?
*Ally Rajabu:* nataka nijue km leo umekunya kweli km hujanya kaa kimya!
![]() |
Kwa ushirikiano na Blog ya Wananchi. |
No comments: