LIVE STREAM ADS

Header Ads

SHANGWE ZA NDOVU SPECIAL MALT JIJINI MWANZA NI BALAA TUPU. HAKIKA NI MAUTAMU KUNOGA.

Wapenzi wa Ndovu Special Malt wakishow love na Kombe Usiku wa kuamkia leo Jijini Mwanza katika Ukumbi wa Hotel ya JB Belmont. Hii ni baada ya bia ya Ndovu Special Malit kushinda kwa mara ya tatu mfululizo tuzo ya bia yenye ubora wa hali ya juu duniani iliyotolewa nchini Ufaranza baada ya bia zote kushindanishwa. 
Tuzo inafahamika kama MONDE SELECTION INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY 2012. Baada ya tuzo hiyo Ndovu iliweza kupata kombe kama unavyoliona. Kutokana na ushindi huo Kampuni ya TBL ambao ni watengenezaji wa bia ya Ndovu Special Malt iliamua kusherekea pamoja na wapenzi wake Jijini Mwanza, na shangwe zilipigwa usiku wa kuamkia leo katika Hotel ya JB.Belmont....Jiachie na mapicha kutoka Mtanzania Media.
Alex Ngusa (kulia) akigonga chiazi na Albert G.Sengo kutoka Clouds FM na G.Sengo Blog wakati wa shangwe za kusherekea ushindi wa Ndovu Special Malt Jijini Mwanza.
"Ni shangwe za Ushindi wa Ndovu Special Malt Jijini Mwanza. Ushindi unafahamika kama MONDE SELECTION INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY 2014.

Filbert Kabago Mtangazaji wa Passion FM, (wa kwanza Kushoto) akiwa na Alex Ngusa (Katikati) na Smith Swai (kulia) kutoka Radio Metro.
Bia ya Ndovu Special Malt imekuwa bia bora na kushinda tuzo ya Bia yenye Ubora Zaidi mwaka 2014.
Smith Swai kutoka Radio Metro nae mara Kabang'aaaaaaaaaa na kombe
Madam Levi kutoka KK Security.
George Binagi-GB Pazzo kutoka Metro FM na Mtanzania Media nae ilibidi ashow love na Kombe.
"Umependezaaaaaa mamii.......Athanteeeee".Huyu ni KT akishow love na Kombe pembeni akiwa na miss ambae yeye kazi yake kubwa ilikuwa ni kutoa kampani kwa aliekuwa akihitaji kupiga picha.
Wapenzi bia ya Ndovu Special Malt wakipata picha na kombe ambalo Ndovu imejishindia. Ndovu iliweza kuondoka na kombe hili baada ya kushinda mara ya tatu mfululizo ile tuzo ya Monde Selection International High Quality Trophy.
Minofu nayo ilikuwepo ili kuhakikisha kwamba Ndovu inapanda vizuri. Wa kwanza kulia ni Madam Levina kutoka Kampuni ya KK Security, akifuatiwa na Dj.Chriss kutoka Club Fussion na wengineo kwa mbaliiiiiiii.
Heheeeeeeeeeee! Wapi ndovuu Special Malttttttttttt.
Alex Ngusa (kushoto) ambae ni Meneja wa Radio Metro ya Jijini Mwanza akiwa na Michael Machellah ambae ni Afisa Habari bia ya Ndovu Special Malt.
Directo Shaibu kiukweli alipiga show kali ambayo kila mmoja aliekuwa ukumbini aliipongeza.Pongezi kwako Mkali wa Changa.......Changa......Changamkaaaaaaaa.
Dancers kutoka kwa Director Shaibu mkali wa ngoma ya Changamka ambayo kwa hivi sasa ni noma hapa nchini.
Weka vitu.....weka vitu weeeee,,,,,,changa changa changamkaaaaaaaaaaaa
Dj.K-Flip kutoka Jembe ni Jembe Club ndie alikuwa akisimamia shangwe hizi za Ndovu Special Malt usikua wa kuamkia leo katika Ukumbi wa JB Belmont Jijini Mwanza....AHSANTE KWA KUTEMBELEA MTANZANIA MEDIA....KARIBU TENA NA TENA NA TENAAAA.

No comments:

Powered by Blogger.