LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA ZA KUSISIMUA ZIKIWAONYESHA WATOTO WALIVYOSHEREHEKEA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA JIJINI MWANZA.

Hivyo ndivyo ilivyokuwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Buhongwa iliyoko Wilaya Nyamagana Mkoani Mwanza, walivyosherekea Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika ikiwa ni Maadhimisho ya Kiwilaya kwa Upande wa Wilaya ya Nyamagana.

No comments:

Powered by Blogger.