USHAHIDI TOSHA UKIONYESHA KUWA CHATU ALIEUAWA JIJINI ARUSHA ALIKUWA ANAMILIKIWA... KAMA WEWE NI MUOGA USIINGIE KUUONA USHAHIDI HUU.

Kwa mujibu wa Arusha yetu Blog wanasema kuwa Chatu huyo
aliuwawa na wananchi baada ya kuonekana maeneo ya Sakina Arusha na akiwa
amefungwa kitambaa chenye maaandishi mekundu.
Wakazi wa eneo la Sakina wamepatwa na mshtuko mkubwa Kikubwa
zaidi kwa Chatu huyo ni kuwa inasemekana alitokea ndani.
Mara baada
ya kuonekana kwa Chatu huyo wananchi walijipanga kisha wakafanikiwa kumuua
ingawa kulitokea utata baada ya Mama mwenye nyumba aliyotokea Chatu huyo
akipinga kutokuuliwa kwa Chatu huyo, Chatu huyo aliuwawa kisha akakatwa vipande
vipande.
Wakati hayo yakijiri ndugu wa karibu wa Mfanyabiashara anaedaiwa kuwa mmiliki wa chatu huyo wameeleza kuwa, maneno yanayosemwa kwamba chatu huyo alikuwa akimilikiwa na mfanyabiashara huyo si ya kweli.
Hizi ni baadhi ya picha zinazoonyesha mashaka kuwa chatu huyo alikuwa akimilikiwa na mtu hasa baada ya kuonekana alikuwa katika kitambaa kilichoandikwa naneno ya msaafu. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu wa mfanyabiashara anaedaiwa kuwa mmilikiwa chatu huyo zinasema kuwa si kweli kwamba chatu huyo alikuwa akimiliwa na ndugu yao.

No comments: