Akijibu Swala La
Ajira Kwa Asikali Wa Wanyamapori,Waziri Wa Mali Asiri Na Utalii Lazalo Nyarandu
Alisema Kuwa Ajira Zote Zitakazo Kuwa Zikihusiana Na Wanyama Pori Zitakuwa
Zikitolewa Chini Ya Mamlaka Ya Hifadhi Ya Wanyamapori.
“Kama
Ambavyo Wenzetu Katika Jeshi La Polisi Wanaajiri Polisi Kutoka Chuo Cha Polisi
Sisi Pia Tutakuwa Tukitoa Ajira Wenyewe na sio Tume ya ajira tena, hivyo
Tunaimani Tatizo La Ajira Alitakuwepo Tena Kwa Wanafuzni Wano Hitimu Mafunzo Ya
Kulinda Wanyama Pori Nchini”.Alisema.
Aidha Ameongeza
Kuwa Wao Kama Wizara Ya
Maliasili Na Utalii,Wamejipanga Kuhakikisha Kuwa Wanaongeza Vifaa Vya Kutosha
Ili Kudhibiti Swala La Ujangili Nchini ikiwa Ni Pamoja Na Kuongeza Ndege
Za Chope (Helkopta) Zenye Uwezo Wa Kuruka Na Kuongeza Ulinzi Katika Mbuga Za
Wanyama Pori Nchini Na Zile Ambazo Zinauwezo Wa Kuruka Bila Ya Kuwa Na
Mwongozaji.
|
No comments: