LIVE STREAM ADS

Header Ads

HAPPY BIRTH DAY WINNIE KUTOKA AFYA RADIO JIJINI MWANZA.

Alizaliwa July 08 Miaka Kadhaa iliyopita Katika Hospital ya Rufaa Bugando Mkoani Mwanza Miaka na kupewa jina la Winifrida Elias. Kwa sasa ni Mwanahabari kutoka Afya Radio ya Jijini Mwanza. Wakati hii leo anatimiza Miaka kadhaa Win anasema "Special thanks to almight God for giving me a gift of life" na kuongeza "Bila kusahau Familia yangu kwa ujumla kwa kunitunza na kunijali hadi kunifikisha hapa nilipo, Nothing Much to say than NAWAPENDA SANA".
Mtanzania Media Inakutakia Happy Birth Day.
Win (kushoto) akimlisha Keki Idd Juma (kulia) wote ni kutoka Afya Radio.
Hatimae ni Mwendo wa Ku-Smile na Mtanzania Media.......NB:Nawe pia unaweza kuwa sehemu ya Mtanzania Media kwa Kututumia picha za Matukio yako, yaweza kuwa Birth day, Ndoa, Kitchen Party, Talaka nk. then tukashare pamoja.

No comments:

Powered by Blogger.