LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW HIT VIDEO: DOGO DOGO BY VICE.

Vice.
Vice ambae ni Msanii wa Kizazi Kipya Kutoka Jijini Mwanza ambae ngoma yake ya Dogo Dogo aliyomshirikisha Mama Angel, Imekuwa ikifanya Vizuri katika Vituo mbalimbali vya Radio ameachia Video ya Wimbo huo ambayo amefanya na Producer anaefahamika kama Dr.Jere Mix. Mawasiliano 0763 07 71 52-Vice.

PATA TIME YA KUITAZAMA VIDEO HIYO:


Na: George Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.