LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA MARYAN.

Huyu ni Msanii wa Kizazi Kipya akiwa anafanya Mziki wa Bongo Fleva. Anatokea Jijini Mwanza. Safari yake ya Mziki aliianza Mwaka 2012 akiwa Jijini Mwanza na Mwaka 2013 mwezi wa 12 alijiunga na Kundi la Tanzania House of Talents (THT) na kuhitimu mafunzo yake ya Mziki mwezi wa Sita Mwaka huu. 

Baada ya hapo aliingia Studio za Masai Music Jiji Mwanza na Kutengeneza ngoma ambayo amemshirikisha G.Ricko, Ngoma inafahamika kama Ishi na Mimi ambayo amefanya na Producer Simba Mkali.Pata nafasi ya Kuisikiliza na Kuidownload ngoma hiyo.
    Msanii Chipukizi Maryan aka Super Queen. 

No comments:

Powered by Blogger.