LIVE STREAM ADS

Header Ads

DUNIA IMEBADILIKA ANASEMA KING MAICCO. BONYEZA PLAY KUMSIKILIZA!

KING MAICCO MWENYEWE HUYU.

Jamaa anafahamika kwa Jina la King Maicco, Ni Msanii kutoka Rock City akiwa anafanya miondoko ya Kufoka foka yaani Hip Hop kwa Lugha za wenzetu. Mshikaji kwa sasa ameachia ngoma yake ya Kwanza inayokwenda kwa jina la "DUNIA IMEBALIKA" akiwa amempa shavu katika CHorus Producer wake anaefahamika kwa jina la Mnyila kutoka Studio za Masai Music zinazopatikana Jijini Mwanza.    


Kubwa zaidi Mshikaji anasema "Napenda kufanya mziki ambao watu wengi wataupokea na kuupenda, hii ni ngoma yangu ya kwanza hivyo napenda mashabiki zangu waisikilize halafu wanishauri imekaaje, je niendelee kufanya Hip Hop au nibadili style, maana mimi naweza style nyingi" Alisema King Maicco wakati akiongea na Mtanzania Media Blog huku akiweka bayana kuwa namba za kumcheck ni 0764 89 47 26 kwa Ushauri zaidi.
ISIKILIZE NA KUIDOWNLOAD NGOMA HIYO HAPA CHINI.

KING MAICCO NDANI YA 99.4 METRO FM LIVE KUTOKA JIJINI MWANZA.
Na: Georege Binagi @99.4 Metro FM & Mtanzania Media.

No comments:

Powered by Blogger.