LIVE STREAM ADS

Header Ads

MICHUANO YA PEPSI KOMBE LA MEYA 2014 YAFUNGULIWA RASMI JIJINI MWANZA. KALA JEREMIAH AFANYA KWELI.

Mgeni Rasmi katika Ufunguzi wa Mashindano ya Kombe la Meya 2014 Jijini Mwanza, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza mapema kabla ya
Mechi ya Ufunguzi wa Michuano hiyo ndani ya Uwanja Mkongwe wa Nyamagana. Katika Mechi ya Ufunguzi Timu ya Isamilo Imeichalaza Timu ya Isamilo ambao ni Mabingwa watetezi wa Kombe hilo jumla ya mabao 3-1.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akikagua Timu shiriki za Mashindano hayo.
Diwani wa Kata ya Mkolani Jijini Mwanza (CCM) ambae pia ni Mstahiki Meya wa Jijini Mwanza Stanslauns Mabula akitaniana na Balozi wa Pepsi na Msanii wa Hip Hop kutoka Jijini Mwanza, Kala Jeremiah.
Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mama Maria Hewa, akiwa na Diwani wa Kata ya Nyamagana Biku Kotecha (CCM) Wakisalimiana na Timu Shiriki za Michuano hiyo ya Kombe la Meya mwaka 2014.
Kikosi cha Timu ya Isamilo ambao ni Mabingwa Watetezi wa Kombe la Meya. Katika Mechi ya Ufunguzi wa Michuano hii iliyofanyika Janakatika Uwanja wa Nyamagana, Walikubali kipigo cha bao 3-1 kutoka Timu ya Isamilo.
Kikosi cha Timu ya Mkolani.
Waamuzi wa Kombe hili la Meya ambao wanatoka katika Shule ya Michezo ya Alliace Jijini Mwanza.
Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evarist Ndikilo akionyesha Makali yake katika Uzinduzi huo wa Kombe la Meya.
Washirki wa Miss Lake Zone wakiongozwa na Miss Ilemela Aisha Ally, nao walifika Kujionea Mechi ya Ufunguzi wa Kombe la Meya.
Kala Jeremiah, Balozi wa Pepsi ambao ni Wadhamni Wakuu wa Kombe la Meya akitoa burudani katika Ufunguzi wa Kombe la Meya katika Uwanja Mkongwe wa Nyamagana Jijini Mwanza.
"Nipeni Tano za live watu wangu wa Mwanza maana mara nyingi tunawasilianaga kwenye simu".
Kala Jeremiah (Kushoto) akiwa na H.Baba katika Jukwaa Moja wakati wa Uzinduzi wa Michuano ya Pepsi Kombe la Meya Jijini Mwanza.
Picha: Charles Mseti.

No comments:

Powered by Blogger.